Bodi ya ngumi za kulipwa Nchini Uingereza (BBBC) imemfungia
Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo kucheza ngumi nchini humo.
Chanzo cha Mwakinyo kufungiwa kucheza nchini humo hakijawekwa wazi lakini
imeripotiwa kuwa alitoa maneno ya kuwachafua baada ya pambano lake na Smith.
Hatua hii ya Bondia huyo namba moja Nchini kufungiwa inakuja siku kadhaa tangu
alipozichapa na Liam Smith nchini humo na kupigwa kwa TKO katika raundi ya nne.
0 Comments