"Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye thamani ya Tshs Billion 9.1"
"Mkataba wa pili utakua ni wa udhamini ambapo GSM italipa Tsh. Milioni 300 kwa mwaka, itakayokuwa ikiongezeka kwa asilimia 10 kila mwaka kwa muda wa miaka 5 kuifanya jumla kuwa na Tsh Bilioni 1.83 kwa miaka 5" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said
Tazama Video nzima
0 Comments