Rais Samia Suluhu azindua mfumo wa Kieletroniki wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kwenye laptop kuzindua mfumo rasmi wa Kieletroniki wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (OAGMIS), nembo ya Ofisi hiyo pamoja na Chama cha Mawakili wa Serikali katika Mkutano Mkuu wa Mawakili wa Serikali uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 29 Septemba, 2022.


Viongozi mbalimbali pamoja na Mawakili wa Serikali wakiwa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkuu wa Mawakili wa Serikali



 

Post a Comment

0 Comments