Naibu Waziri wa Elimu Mhe. Omary Juma Kipanga amesema kuwa katika sera mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hapo baadaye, Elimu ya msingi itaishia darasa la 6 na hakutakuwa na mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi na kwamba mtihani utakuwa ni kidato cha nne tu.
0 Comments