NMB Marathon 2022 waupiga mwingi Milioni 600 za kusanywa Kutibu Fistula.


NMB Marathon 2022 imekusanya Shilingi milioni 600 zinazoenda kusaidia matibabu ya kina mama wanaosumbuliwa na tatizo la Fistula katika hospitali ya CCBRT. Kiasi hiki kinakamilisha lengo la kukusanya shilingi bilioni moja kwa kipindi cha miaka miwili.

Kwenye hafla hiyo Mgeni rasmi Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekabidhi mfano wa hundi ya kiasi hicho kwa Mkurugenzi Mtendaji wa CCBRT , mbele ya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Bw. Edwin Mhede pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu, Bi. Ruth Zaipuna.



 

Post a Comment

0 Comments