Mzee Juma Magoma na wenzake wameshindwa kesi ya kutaka kuundoa uongozi wa Klabu ya Yanga madarakani, ambapo hukumu imetoka leo Agosti 9, 2024, katika Mahakama ya Kisutu na anatakiwa kuilipa Klabu ya Yanga fidia.
Pamoja na kutupilia mbali maombi yao, Mahakama hiyo imeamuru Magoma, Geofrey Mwaipopo na Abeid Mohamed Abeid walipe kwa Muombaji ambaye ni Bodi ya Wadhamini ya Klabu ya Yanga, gharama zote za uendeshaji wa shauri hilo.
0 Comments