Mgambo JKT Wafunga Mafunzo kwa Mujibu wa Sheria.


Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando akikagua gwaride la wahitimu wa mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa Mujibu wa Sheria wakati wa kufunga mafunzo hayo Septemba 10, 2024 katika kambi ya Mgambo JKT wilayani humo. Picha na Rajabu Athumani

Post a Comment

0 Comments